mtotoUandaaji bora wa uji lishe kwa mtoto 🏮Kitu cha msingi cha kuzingatia ni kuandaa uji utaoweza kumpatia mtoto virutubisho anavyohitaji kwa umri wake ili kusaidia ukuaji naMtoto chini ya miezi sita anapaswa kuwa anapata maziwa mbadala yaliyotengenezwa tayari kwa ajili ya watoto walio na umri chini ya miezi sita. 2. Anapotimiza miezi 6 na kuanza kula,